Msanii Mabeste Venance Aongelea Juu Ya Bhits Kumtuhumu Mrap


                           Msanii wa kizazi Kipya mabeste   aongelea juu ya  BHITZ kumshutumu Mrap Kuiba Mistari Alichokisema Ni kama Ifuatavyo

Nasikitika Pancho Latino na Uongozi wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika Track yake aliyoifanya Am Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse ambayo ni (only you remix)... sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakat niko Bhits!! Je mbona wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits? Na kama issue ni Copy n Paste au kuishiwa na idea,mbona beat iliyotumika kwenye Track yangu ya "SIRUDI TENA" Pancho amei Copy kwenye Track ya (cheap monkey ft chriss brown - champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap), mbona wao pia wanazingua nao???
#MabesteArmy!

2 comments:

  1. bhits hawana kitu. kazi yao kusample tu. tunawajua. and beats zao sio nzito hazina quality ukiplay na speaker ndogo zinakua hausikii kicks. poooorr

    ReplyDelete
  2. yeaah thats true bhitys wajinga tu

    ReplyDelete

Copyright © 2012 THE M-RAP LION