The track name iz out



Kwenye post yangu ya mwisho nilongelea Ujio mpya wa mrap na nyimbo Ya Mapenzi lakini Mrap Sasa amerelease jina la hiyo Inaitwa      Dedication      Ambayo amemshirikisha Damian soul Mkali wa Rnb Track hii Imefanywa chini Ya Bhitz Kma Record Label Na Produced By Hermy Na Pancho Latino Inakuja Soon

3 comments:

Copyright © 2012 THE M-RAP LION