Alichokiongelea Msanii Mabeste Juu Ya Bhitz kumshutumu Mrap
Baada ya Bhitz Kumshutumu Msanii Mrap Kuiba Mistari aliyokwishimbia ndani ya nyimbo aliyoimba akiwa bhitz Hili Ndilo alilo lisema mabeste
New song: Mrap lion Ft Jux-Usiende Mbali(AM rec)
Listen To Mrap's New Song alio Mfeet Jux Na Kwa Mara ya pili Kufanyia Ndani Ya AM Rec
Dj choka :Stinga Li (Mrap,Country Boy,Janjaro,Rizy,Yound Dar)
Sikiliza new song ya Dj choka Inayoitwa Stinga Li aliyowa feat Rppers wakali wa Tz akiwemo Mrap
Mrap Lion Live At Stage Moja Na Fuse Odg
Mrap Lion aperform on Fuse ODG live at Dar show ilitsha xana Mzaz
“Ndoto Teja” ni series ya “Short Films” ambayo imeandikwa na kufanywa na Director Frank ‘Gonga’ Mgoyo na kuchezwa na Mrap Lion pamoja na mwanamitindo Myler Nyangasa, filamu hii imeangalia zaidi ukuwaji wa matumizi ya vilevi kuanzia pombe, bangi na madawa ya kulevya kiasi cha kusababisha kuharibu maisha ya vijana wengi nchini.
‘Ndoto Teja’ ni “Filamu Fupi” ambazo zitakuwa zinakuja kila baada ya muda mfupi ambazo zote zitakuwa zinalenga Jamii ya Mtanzania kwa ujumla, zaidi kabisa ni upande wa Burudani na Vijana.
Msanii wa kizazi Kipya mabeste aongelea juu ya BHITZ kumshutumu Mrap Kuiba Mistari Alichokisema Ni kama Ifuatavyo
Nasikitika Pancho Latino na Uongozi wa Bhits kwa kulalamika kua M-Rap ametumia mistari yao katika Track yake aliyoifanya Am Records (usiende mbali) kuwa ametumia Verse alizowahi kuandika kipindi yuko Bhits na kuamua kutoa hiyo Track yenye hiyo Verse ambayo ni (only you remix)... sasa mbona (only you remix) waliyoitoa Bhits ile chorus aliyoifanya Jux niliandika mimi wakat niko Bhits!! Je mbona wao wametumia mistari yangu wakati mimi siko Bhits? Na kama issue ni Copy n Paste au kuishiwa na idea,mbona beat iliyotumika kwenye Track yangu ya "SIRUDI TENA" Pancho amei Copy kwenye Track ya (cheap monkey ft chriss brown - champion)?? Je ni haki wanachofanya??
Ama wanataka kumuaibisha tuu dogo(M-rap), mbona wao pia wanazingua nao???
#MabesteArmy!
Baada ya Mrap kutaka kutoa track Mpya na kushindikana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wake sasa Mrap arelease Track Mpya IItwayo Usiende mbali sikiliza hapo chini
Kwenye post yangu ya mwisho nilongelea Ujio mpya wa mrap na nyimbo Ya Mapenzi lakini Mrap Sasa amerelease jina la hiyo Inaitwa Dedication Ambayo amemshirikisha Damian soul Mkali wa Rnb Track hii Imefanywa chini Ya Bhitz Kma Record Label Na Produced By Hermy Na Pancho Latino Inakuja Soon
Subscribe to:
Comments (Atom)










